VIDEO: Hii ndio bei ya viingilio mechi ya Simba na Sevilla ya Hispania


Mkurugenzi wa utawala na fedha wa TFF, Cornel Barnabas, wakishirikiana na kampuni ya SportPesa, wametangaza viingilio vya mchezo wa Simba SC na Sevilla ya Hispania ambao utachezwa Mei 23, 2019 katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments